BANGO JEUPE JF-Expert Member Nov 21, 2015 3,060 2,115 Mar 23, 2017 #1 Ni siku ya nne leo sauti yangu imekauka haitoki na sina tatizo la kifua wala mafua Sikuimba wala sikupayuka Msaada tiba wakuu
Ni siku ya nne leo sauti yangu imekauka haitoki na sina tatizo la kifua wala mafua Sikuimba wala sikupayuka Msaada tiba wakuu
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,959 2,938 Mar 28, 2017 #2 BANGO JEUPE said: Ni siku ya nne leo sauti yangu imekauka haitoki na sina tatizo la kifua wala mafua Sikuimba wala sikupayuka Msaada tiba wakuu Click to expand... WAHI MUHIMBILI KITENGO CHA MASIKOLIO PUA NA KOO NI MABINGWA WA HIYO KITU
BANGO JEUPE said: Ni siku ya nne leo sauti yangu imekauka haitoki na sina tatizo la kifua wala mafua Sikuimba wala sikupayuka Msaada tiba wakuu Click to expand... WAHI MUHIMBILI KITENGO CHA MASIKOLIO PUA NA KOO NI MABINGWA WA HIYO KITU
BANGO JEUPE JF-Expert Member Nov 21, 2015 3,060 2,115 Mar 28, 2017 Thread starter #3 NZURI PESA said: WAHI MUHIMBILI KITENGO CHA MASIKOLIO PUA NA KOO NI MABINGWA WA HIYO KITU Click to expand... Asante mkuu imerud saa hii naimba kwa ubeti wa mwisho kabisa
NZURI PESA said: WAHI MUHIMBILI KITENGO CHA MASIKOLIO PUA NA KOO NI MABINGWA WA HIYO KITU Click to expand... Asante mkuu imerud saa hii naimba kwa ubeti wa mwisho kabisa
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,959 2,938 Mar 28, 2017 #4 BANGO JEUPE said: Asante mkuu imerud saa hii naimba kwa ubeti wa mwisho kabisa Click to expand... kama inarudi hongera ila sio ndo kama umepona tafuta chanzo cha kukauka sauti pamoja yakuwa huumwi kikohozi
BANGO JEUPE said: Asante mkuu imerud saa hii naimba kwa ubeti wa mwisho kabisa Click to expand... kama inarudi hongera ila sio ndo kama umepona tafuta chanzo cha kukauka sauti pamoja yakuwa huumwi kikohozi
BANGO JEUPE JF-Expert Member Nov 21, 2015 3,060 2,115 Mar 28, 2017 Thread starter #5 NZURI PESA said: kama inarudi hongera ila sio ndo kama umepona tafuta chanzo cha kukauka sauti pamoja yakuwa huumwi kikohozi Click to expand... Sawa chief
NZURI PESA said: kama inarudi hongera ila sio ndo kama umepona tafuta chanzo cha kukauka sauti pamoja yakuwa huumwi kikohozi Click to expand... Sawa chief