Kichwa Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,726 Reaction score 314 Oct 17, 2012 #1 Wakuu naomba msaada jinsi ya kukonekt internet kwa simu ya samsung t222
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Oct 17, 2012 #2 Umeweka settings za net na umenunua data bundle? Tafuta sehemu ya kuweka APN kwenye hiyo simu kisha weka settings kulingana na mtandao wako, nadhani nyingi za TZ ukiweka internet kwenye apn name zinakubali.
Umeweka settings za net na umenunua data bundle? Tafuta sehemu ya kuweka APN kwenye hiyo simu kisha weka settings kulingana na mtandao wako, nadhani nyingi za TZ ukiweka internet kwenye apn name zinakubali.