Wakuu poleni na majukumu
Shida ni kwamba natumia galaxy s4 gt i9505 jana nikawa najaribu kuingiza apps za kuroot simu yangu ila sikufanikiwa sasa leo asubuh naamka na sim ilikua on nakuta volume inajiongeza na kushuka yenyew nika restart.Hapo ndo balaa likaanza kuwaka ikawa kama mpya yani inataka kuisajil na google account nikitaka kusajili inataka wi-fi na sio data ya internet nikishusha pazia ili niende setting na kufungua data alishuki nikasema niifanyie factory reset lakin bado ni vilevile nashindwa kuelewa hapa nimeazima simu ili niulize kunani hapo? Shukrani naomba mchango wenu.
Hapo kutakuwa kuna tatizo kwenye system files. Ushauri wangu hapo ukafanye flashing
Mkuu wakati una root kuna kitu umekosea. Ku root simu ni poa bt ukikosea risk zake ndo kama hivyo. Hapo msaada connect wifi then down load update operating system kama haipo latest vile then itaji unroot na kucover files ambazo zime corrupt as a result of rooting. Sina hakika sana na nnacho kushauri ila ningekuwa mimi ndo wewe ningefanya hivi.Wakuu poleni na majukumu
Shida ni kwamba natumia galaxy s4 gt i9505 jana nikawa najaribu kuingiza apps za kuroot simu yangu ila sikufanikiwa sasa leo asubuh naamka na sim ilikua on nakuta volume inajiongeza na kushuka yenyew nika restart.Hapo ndo balaa likaanza kuwaka ikawa kama mpya yani inataka kuisajil na google account nikitaka kusajili inataka wi-fi na sio data ya internet nikishusha pazia ili niende setting na kufungua data alishuki nikasema niifanyie factory reset lakin bado ni vilevile nashindwa kuelewa hapa nimeazima simu ili niulize kunani hapo? Shukrani naomba mchango wenu.
Mkuu wakati una root kuna kitu umekosea. Ku root simu ni poa bt ukikosea risk zake ndo kama hivyo. Hapo msaada connect wifi then down load update operating system kama haipo latest vile then itaji unroot na kucover files ambazo zime corrupt as a result of rooting. Sina hakika sana na nnacho kushauri ila ningekuwa mimi ndo wewe ningefanya hivi.
flashing is a bext solution kw tatzo lako
Niki frash itarudi kama mwanzo au vipi maana sasa haionyeshi hata mafile yani inasoma samsung galaxy welcome select language na accessibility ambayo ukibofya inakuletea setting zingine
Huwa rooting ni hatari na huwa ina VOID WARRANTY. Na hiyo ni moja ya risk za rooting, huwa inatokea sio kitu kipya. Pia kwa samsung zina corrupt sometimes hata kama hujafanya internvention yoyote, unaweza kuamka asubuhi ukiwasha simu inaishia kwenye logo ya samsung.
Yaani flushing ndio mwisho wa firmware problems. Hata kama ilikuwa haiwaki. Ili mradi tu isiwe na hardware problem.
Wakuu poleni na majukumu
Shida ni kwamba natumia galaxy s4 gt i9505 jana nikawa najaribu kuingiza apps za kuroot simu yangu ila sikufanikiwa sasa leo asubuh naamka na sim ilikua on nakuta volume inajiongeza na kushuka yenyew nika restart.Hapo ndo balaa likaanza kuwaka ikawa kama mpya yani inataka kuisajil na google account nikitaka kusajili inataka wi-fi na sio data ya internet nikishusha pazia ili niende setting na kufungua data alishuki nikasema niifanyie factory reset lakin bado ni vilevile nashindwa kuelewa hapa nimeazima simu ili niulize kunani hapo? Shukrani naomba mchango wenu.
uko mkoa gani? solution yake iyo ni kupeleka kwnye flashing especialy samsung na sio mafundi wa mtaani
Ebu nidadavulie kidogogo kuhusu firmware na hardware problem
Firmware (Operating system -OS) kama vile android, iOS,Symbian au windows. Firmware ni program Mama ambayo ndio inaControll hardware, na pia ndio program inayopokea program zingine ndogondogo. Hardware ni vile vitu unavyoweza kuviona na kuvigusa, kama vile speaker, display, chips, usb port battery etc
Wakuu nimekuja kutoa updated la hili tatizo
Baada ya kunisumbua jana niliiweza ikawa inaonesha program kama kawaida ila imekua mpya na kuna app ambayo sikuwanayo imejitokeza KINGUSER na inavitu vingine vipya kama menu flan hiv ambayo ina screenshot zoom na vitu vingine yofauti na zamani sasa nashindwa kuelewa kwamba imeshakuwa rooted au ni vipi na kinachonikera kujipandisha sauti na kujishusha msaada tafadhari.
iko rooted ndo mana kuna kinguser hyo..fungua king user ikague vizur utaona neno unroot basi Fanya hvyo.ikigoma Ku solve tatizo basi tafuta Odin mapemaa kwa ajil ya Kuflash firmware.
iko rooted ndo mana kuna kinguser hyo..fungua king user ikague vizur utaona neno unroot basi Fanya hvyo.ikigoma Ku solve tatizo basi tafuta Odin mapemaa kwa ajil ya Kuflash firmware.