MSAADA: SAMSUNG GT-S7582

Kilele9

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
1,452
Reaction score
1,101
Naomba kusaidiwa kuinstall Whatsapp kwenye simu hiyo hapo
GT-S7582
Nimejaribu mara kadhaa baada ya kutoa permission inaanza kuinstall
then inaleta ;

Out of space

WhatsApp couldn't be installed. Free up some space and try again

na option ya Cancel au Manage apps

Nimeweka memory card ya GB16 nimepunguza apps kwenye internal memory lakini bado haikubali
 
hapo shida sio internal storage bali RAM imejaaa mzee punguza vitu kisha Restart device then download upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…