Msaada Samsung galaxy S4

Msaada Samsung galaxy S4

Dozier

Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
20
Reaction score
5
wataalam nisaidieni simuyangu galaxy s4 haisomi 3G, nimewapigia Vodacom wameniambia nibadilishe network mode kuitoa GSM only niweke WCDMA inagoma kubadilika inang'ang'ania GSM only nime restore factory tatizo bado
 
Tatizo cyo cm mdau tatizo ni network yan mitandao yote imekua magumashi siku hz vumilia tu ucje ukatapeliwa kwa ukazani simu ni mbovu manake na mimi natumia s4 na hyo 3g haisomi
 
Kuna minara mingine hai-support 3G....!!!!je hapo ulipo kuna mtu mwingine anapata 3G???
 
Tumia WCDMA only ambao ndio 3G kuna H juu inakaa.[HSDPA]
 
Kuna jamaa yeye anatumia Galax pocket anaipata 3G na tunaishi nyumba moja
 
Back
Top Bottom