Msaada Samsung Galaxy Note 4

Msaada Samsung Galaxy Note 4

msakijr

Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
45
Reaction score
7
habari za asubuhi ndugu zangu
na shida na simu yangu toka jana nikiweka line ya tigo inaandika emergency calls only, nikiweka line nyingine inafanya kazi, na pia nkiweka line yangu kwenye simu nyingine inafanya kazi vzry.

anaeweza nisaidia jaman hapo shida inaweza kuwa nini.
 
Nenda tigo (ofisi za tigo)
 
tigo wanasema imefungwa na mm nilikuwa naitumia vizury tuu
Kumbe wamekupa jibu zuri nunua nyingie usihangaike simu org ndiyo zimefungwa kwa taarifa yako mchina anapeta.
Samsung Galaxy Note 4 inatumia cert, security yake iko imara hapa hatuwezikukusaidia
 
Mkuu n mm nina tatizo kama lako..natumia galaxy note 2 nkiweka chip ya tigo inaandika limited service. .nkiweka mitandao mingine inafanya kazi vizuri...
 
Mkuu n mm nina tatizo kama lako..natumia galaxy note 2 nkiweka chip ya tigo inaandika limited service. .nkiweka mitandao mingine inafanya kazi vizuri...
itakuwa imefungwa tuma imei za simuyako kwenda namba hii 15090 bonyeza *#06# kupata imei za simu yako halafu zitume kwenda namba 15090 TCRA utapata jibu zuri sana
 
Back
Top Bottom