Msaada: Ratiba uandikishaji wapiga kura Arusha

Laizer Peter

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
130
Reaction score
24
Habari Jf.

Samahani
kwa wale wanaoishi Mkoa wa Arusha naombeni mnijuze kuhusu ratiba ya uandikishaji majina ya wapiga kura.
Hata mlioko nje ya Arusha kama mna ratiba kamili naomba mnijuze tafadhali nisije nikapitwa na wakati.

Ahsanteni.
 
asee kuwa makini sana usije ukapitwa mkuu.

Wadau wanakuja, soon utafahamishwa..
 
Tafadhali pokea Ratiba ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mikoa ya Mtwara na Lindi zoezi lilianza tarehe 24/4/2015 kumalizika 24/5/2015. Mkoa wa Ruvuma uandikishaji ulianza tarehe 27/4/15 hadi 28/5/15. Mkoa wa Iringa zoezi limeanza tarehe 29/4/2015 hadi 29/5/15. Katavi zoezi limeanza tarehe 18/5/2015 hadi 17/6/2015. Mbeya kuanza tarehe 19/5/15 kumalizika 18/6/2015. Dodoma kuanza 20/5/2015 kumalizika 19/6/2015. Rukwa kuanza 24/5/15 hadi 23/6/15. Kigoma, Kagera, Singida na Tabora kuanza 21/5/15 hadi 18/6/2015. Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu kuanza 2/6/15 hadi 4/7/15. Kilimanjaro, Arusha, Mara na Manyara litaanza 12/6/15 hadi 12/7/15. Morogoro, Pwani na Tanga kuanza 18/6/15 hadi 18/7/15. Zanzibar kuanza 14/6/15 hadi 16/6/15. Dar es salaam kuanza 4/7/15 hadi 16/7/15. Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawaomba wananchi wote wenye sifa kujitokeza kwenda kujiandikisha ili waweze kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Sent as received
 
asante sanaa!
 
Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom