Msaada: Ramani za nyumba za bure zenye vipimo

ezekeo

Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
63
Reaction score
158
Wakuu nimetafuta sana ramani za nyumba zilizo full kwenye pdf files mitandaoni Ila nimekosa zaidi nakutana na picha za floor plan zenye namba za simu na nimejaribu kupiga baadhi ya hizo namba za wachoraji gharama nilizoambiwa nimeshindwa kabisa kuendelea kuongea nao.

Kwa wadau walio na raman za nyumba za chini zisizo za gharofa tusaidiane hapa yawezekana ulisha itumia ama imetokea tu uko nazo....tupia hapa tusaidiane.

Ikishindikana tutajiane machaka zinakopatikana for free.
 
Kubali kutoboko kidogo update ramani ya nyumba uipendayo vya bure ghali .Ukiwana pesa ya supu nikicheki
 
Ukifa tutakuzika for free hutotoa pesa ila ukiwa hai pesa lazima utoe.
 
Nina ramani full ya room 3 zote self contained. Pages kama 13 hivi, kama uko tayari kuchangia gharama nikupe soft copies in pdf.

Ni ramani nimetumia kujenga nyumba yangu.
 
Nyumba nzuri huanza na ramani nzuri,una hela ya kujenga ila hauna hela ya raman[emoji119] hakuna raman ya free,utapata zisizo na vipimo tafuta mtaalam akusaidie .
 
Unsjrnga halafu hsuna hrla ya ramani. Nakupa ushauri nenda vyuoni wanakofundisha mamabo ya civil ama civil draft kwa veta wape madogo laki 2 wakuchoree xhap
 
Kwanini unataka for free?
Wewe kazi unafanya for free?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…