Msaada ram size ya huawei y300

kkkt

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
364
Reaction score
115
Cm yangu ni huawei y300 internal ambayo ni used ni mb600 free size ni mb535 ram size used ni mb383 free size size inaweza kubadilika badilika mara mb17;19;20;30 mara 45 sasa nataka angalau ifike mb100 au mb 120 sasa nifanyaje jamani nisaidieni kwenye anaeweza
 
unatakiwa uclose opening apps na pia utoe apps ambazo zinarun chini kwa chini. nenda store search task manager tafuta app zake then zitakusaidia kukamilisha hio kazi
 
Ngoja nifanye ivo mkuu kama ntaweza ahsante
 
hata mimi nuna shida kama hiyo. wataalamu msaada zaidi tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…