GAMBLER JF-Expert Member Joined Nov 22, 2009 Posts 303 Reaction score 12 Aug 9, 2012 #1 Wadau hivi mimi huwa nasikiliza times fm kwenye pc yangu kwa streaming.....Hivi nauliza hivi kwa muda wa saa moja inaweza kukata megabyte ngapi? natumia sasatel........ Na kwenye Huduma ya Blackberry naweza kuwa na radio streaming??
Wadau hivi mimi huwa nasikiliza times fm kwenye pc yangu kwa streaming.....Hivi nauliza hivi kwa muda wa saa moja inaweza kukata megabyte ngapi? natumia sasatel........ Na kwenye Huduma ya Blackberry naweza kuwa na radio streaming??
GAMBLER JF-Expert Member Joined Nov 22, 2009 Posts 303 Reaction score 12 Aug 9, 2012 Thread starter #2 msaada wadau.....
GAMBLER JF-Expert Member Joined Nov 22, 2009 Posts 303 Reaction score 12 Aug 9, 2012 Thread starter #3 GAMBLER said: Wadau hivi mimi huwa nasikiliza times fm kwenye pc yangu kwa streaming.....Hivi nauliza hivi kwa muda wa saa moja inaweza kukata megabyte ngapi? natumia sasatel........ Na kwenye Huduma ya Blackberry naweza kuwa na radio streaming?? Click to expand... msaada wadau
GAMBLER said: Wadau hivi mimi huwa nasikiliza times fm kwenye pc yangu kwa streaming.....Hivi nauliza hivi kwa muda wa saa moja inaweza kukata megabyte ngapi? natumia sasatel........ Na kwenye Huduma ya Blackberry naweza kuwa na radio streaming?? Click to expand... msaada wadau
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,698 Reaction score 5,622 Aug 9, 2012 #4 Najua moja kwa ajili ya phones.fungua wapday.com then application
EARPHONE JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 355 Reaction score 66 Aug 9, 2012 #5 Kuna hii nayotumia mm kwenye nokia 5130 Listen to thousands of internet radio stations! | Yourmuze.FM lkn ss kuna sehm add new station halaf kuna kisehm cha kujaza kwenye source URL tupeane maujanja nataka kujaza za tz maana zilizopo n za mbele 2
Kuna hii nayotumia mm kwenye nokia 5130 Listen to thousands of internet radio stations! | Yourmuze.FM lkn ss kuna sehm add new station halaf kuna kisehm cha kujaza kwenye source URL tupeane maujanja nataka kujaza za tz maana zilizopo n za mbele 2