Tatizo hilo linasababishwa na user pale anapojaribu ku-compress vital program file ambayo inahitajika wakati waPC booting, na kwakuwahaiwezi kuji-decompress yenyewe basi pc inagoma kuboot,kiufupi ulivyo compress hilo file ni umeliharibu na unatakiwa kufanya repair kwa kutumia CD au Flash yenye hiyo windows version. Chomeka hiyo CD / Flash halafu wakati unaiwasha chagua repair na endelea as usual kurepair hilo file..