Mjomba Fujo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,606 Reaction score 6,757 Jul 3, 2014 #1 Wadau nahitaji msaada kuna console ya ps3 nataka kui-Jailbreak ila nimecheza na google naona hola hii ps3 ni.... Ps3 slim CECH-25xx software version ni 4.55, sasa mwenye kufahamu au aliyefanikiwa kwa hili naomba maelekezo.
Wadau nahitaji msaada kuna console ya ps3 nataka kui-Jailbreak ila nimecheza na google naona hola hii ps3 ni.... Ps3 slim CECH-25xx software version ni 4.55, sasa mwenye kufahamu au aliyefanikiwa kwa hili naomba maelekezo.