Tofauti ya hizo heatsink compnd sio kubwa kiasi cha kuleta madhara makubwa kama hayo kwenye cooling mechanisms.
Angalia vitu vifuatavyo:
A. Unatakiwa kufuta kabisa ile cmpnd iliyokuwepo mwanzo ambayo imeganda juu ya cpu na chini ya heatsink. Futa kabisa hadi surface ing'ae.
B. Unapoweka cmpnd mpya usiweke nyingi. Just one layer like film. Hakikisha imesambaa kote vizuri.
C. Unaporudishia Heatsink kwenye cpu hakikisha umeikaza vizuri na kwa pande zote.
D. Ondoa vumbi kwenye fan, heatsink, na ventilation zote.