M man of the year JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 463 Reaction score 319 Aug 2, 2015 #1 hello Nimefanya application katika profile yangu course nilizochukua nime kutana na sehemu wameandika competition from other applicant so far then kuna capacity n priority, Itakua ina maanisha nn wakuu??
hello Nimefanya application katika profile yangu course nilizochukua nime kutana na sehemu wameandika competition from other applicant so far then kuna capacity n priority, Itakua ina maanisha nn wakuu??
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,936 Reaction score 11,869 Aug 2, 2015 #2 watu waliomba program hizo mnaoshinda nao.
M man of the year JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 463 Reaction score 319 Aug 2, 2015 Thread starter #3 Matokeo yangu n hafifu sana,naweza kubadili kuna kozi mbili nimegalagazwa naweza kubadili au ukisha jaza ndo imetoka???
Matokeo yangu n hafifu sana,naweza kubadili kuna kozi mbili nimegalagazwa naweza kubadili au ukisha jaza ndo imetoka???
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,507 Reaction score 5,742 Aug 2, 2015 #4 man of the year said: Matokeo yangu n hafifu sana,naweza kubadili kuna kozi mbili nimegalagazwa naweza kubadili au ukisha jaza ndo imetoka??? Click to expand... unaweza kubadili ndiyo
man of the year said: Matokeo yangu n hafifu sana,naweza kubadili kuna kozi mbili nimegalagazwa naweza kubadili au ukisha jaza ndo imetoka??? Click to expand... unaweza kubadili ndiyo