Jamani computer yangu aina ya HP inanipa pressure sana mwanzo program zilikuwa zinafanya kazi vizuri tu, akaja mtu nikachomeka EXTERNAL nilipoitoa tu program zote zikawa stopped work kila unayoifungua.
Nimeshusha window kama mara tano lakini tatizo liko pale pale.
Fanya backup file zote then piga window kwa kudelete partition zote na kucreate Tena, Lakini kabla ya kufanya hivyo start Kwanza kwenye safe mode uone kama itakubali, kama itagoma fanya hivyo plan A. Usisahau kutupa mrejesho.