Habari wakuu,
Kumekuwepo na lundo la powerbanks madukani,za aina tofauti tofauti.Hii inachanganya sana,hasahasa kwa wengine ambao sio wazoefu katika kutumia powerbanks.
Natumai katika jukwaa hili kuna wazoefu na wataalamu katika vifaa hivi.Hivyo naomba ushauri kwa uzoefu wenu,ni powerbank ipi itakayonifaa kucharge simu yenye 1800mAh,na ambayo inadumu(durability).
Siku hizi zimeingia power bank fake sana. Unaitumia kwa saa 1 unaichaji kwa masaa 24. Tena huyo ni 24,000 MAH. Nadhani ni vyema kama upo na nia ya kununua ununue ya sonny ambayo ni uhakika
Labda 24,000 mAh ulitaka ichajiwe kwa masaa mangapi ?
Mana galaxy S6 2,550 mAh unaeza charge masaa ma 4, sasa hiyo 24,000 mAh unazani itachukua muda gani ?
Tuache unafiki.
Ndio utumie saa 1 kisha uchaji masaa 24? Hiyo galaxy s6 ukichaji saa 4 unatumia saa 1? Hoja yako ni sahihi lakini unaonekana kutetea matumizi ya saa 1 tu.
More expensive more reliable it is, I bought samsung works very very good 30,000mAh for $60
Price suck for somehow.
I can get 30000mAh power bank for less than 17$ plus free shipping at Ebay.
Price suck for somehow.
I can get 30000mAh power bank for less than 17$ plus free shipping at Ebay.
Price suck for somehow.
I can get 30000mAh power bank for less than 17$ plus free shipping at Ebay.
More expensive more reliable it is, I bought samsung works very very good 30,000mAh for $60
HEHEHEHEE!!
Ebay is just a free site anyone can sell and buy anything anytime. I bought one at DICK SMITH very reliable electronic store, I never regret on that. Its $60 aud not usd
hebu nami nifanyie huo mpango wa kupata powerbank kwa hao waagizaji pls kwa hiyo bei kama bado haijapanda pls mkuu nina uhitaji huo
Bei haziwezi kupanda kwasabu ni watu tu wanaouza.
Mtafute mtu mwenye access ya ebay na paypal akufanyie mpango, au negotiate na UncleUber akufanyie mchakato.