Msaada: Postal code ya Arusha

iconman

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
28
Reaction score
13
Wadau naomba mnisaidie postal code ya Arusha Tanzania..nlitaka kujiregister ktk moja ya huduma mtandaoni bt nimekwama hapo kwenye postal code.
 
Tanzania haina system ya post code, huku kuna Post Office Box Number, ila cha kufanya sababu kuna mitanfao inagoma wewe kwenye box weka namba za box ila tatizo mfumo wa Post Code ni kama B8 2yl kwahio jaribu kuweka namba na na maybe some herufi kulingana na p. o. box yako, ila kama kuna option ya kuweka kwamba hakuna post code chagua hiyo
 
I guess 027 kama sio +255 ya Tz
 
I guess 027 kama sio +255 ya Tz
Mkuu hii ni Telephone Code sio Post Code..., Tanzania hakuna Post Code.., ila mdau ajaribu kuweka hio namba kama itakubali sababu cha maana ni afanikiwe kwenye registration ingawa hata anachokiingiza sio nadhani kama itakubali hizo three digits ajaribu kuweka 255


Nimesoma sehemu inaweza pia ikawa numeric peke yake kuanzia digit tatu kwahio akiweka digits tatu zozote itakubali hence even 255 itakubali
 
Tz hakuna hiyo lakini mbadala wake na hata bank inatumika ni 255
 
Tz hakuna hiyo lakini mbadala wake na hata bank inatumika ni 255
Hapo juu mdau ametoa kwa baadhi ya sehemu za Arusha, walichagua Arusha iwe kama pilot kwa Tanzania kabla hawajaamia sehemu nyingine, ila that was about three years ago, naona kazi inakwenda kwa mwendo wa kinyonga nimeona sehemu kama Unga Ltd wameshapewa according to pdf iliyowekwa hapo juu (ingawa kwa kuangalia haijakamilika)
 
Ahsanten wadau kwa michango yenu mizur ngoja nijaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…