Unatumia windows gani kwenye PC? jaribu kutumia mojawapo ya njia hizi;Nlichange password kabla sijaanza kutumia, lakini nikiunganisha haileti option ya kuweka password
Asante sana mkuuUnatumia windows gani kwenye PC? jaribu kutumia mojawapo ya njia hizi;
1. Badilisha jina la hotspot kwenye simu, halaf jaribu kuunganisha kwenye PC.
2. Futa(forget) hiyo hotspot, zima wireless kwenye PC halafu washa. Baada hapo utaiona tena, utaconnect itakuja sehem ya password. Utaweka na kuendelea.
NB: Hakikisha unauwezo wa kutumia intanet kwenye simu, kabla hujahangaika kwenye PC.