Habari za wakati huu ndugu.
Pc yangu hp(celetron) USB-port moja haifanyi kazi ya upande wa kulia ambayo ipo peke yake. Ukiconnect devices inakuambia not recorgnised lakini yapitisha power.Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili.
Karibu
Habari za wakati huu ndugu.
Pc yangu hp(celetron) port moja haifanyi kazi ya upande wa kulia ambayo ipo peke yake. Ukiconnect devices inakuambia not recorgnised lakini yapitisha power.Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili.
Karibu
Inawezekana hiyo port ina uwezo wa usb 3.0 wakati usb cords ni za usb 2.0, kama hauwezi kuseti hebu google kitu kama hiki 'how to enable usb 2.0 in (taja model ya laptop yako)' fuata maelekezo.
Inawezekana hiyo port ina uwezo wa usb 3.0 wakati usb cords ni za usb 2.0, kama hauwezi kuseti hebu google kitu kama hiki 'how to enable usb 2.0 in (taja model ya laptop yako)' fuata maelekezo.