ilo tatzo sio la pc bali ni la adapter.....naomba mnielewe hapa sababu ukinisoma kwa juujuu hutanielewa.....ni kuwa wengi wetu tunanunua laptop zikiwa na chaja ambazo hazijafikia nazo (ni hizi replacement adapter from china),zile adapter hazina current iliyo stable au haziendan na pc husika kwahiyo hicho kitu kinaenda kuathiri mfumo wa pointer.....ndo maana mda mwingine ukichomoa chaja unakuta pc inafanga poa
....Suruhisho ni kununua chaja original ya mashine husika....