asante mkuuKaka, sheria ya kazi ni baada ya miaka mitatu(3) tangu apewe maternity leave ndio anaruhusiwa tena kuchukua maternity leave, akipata mimba befor 3 years atakua entilted only na annual leave ya mwez mmoja na c maternity leave ya miez mitatu sasa hapo inadepend na huruma ya bosi kumruhusu mapema maana mwez mmoja kwenda kazini c mchezo