ukweli ni kwamba inaonekana kwamba kozi nyingi za biashara zimeshasaturate kitaa ila bado kuna uhitaji mkubwa sana watu katika nyanja zoote
ushauri wangu mimi binafsi kama unaweza unaweza omba kozi ARDHI UNIVERSITY kuna kozi nzuri sana kama BSC BUILDING ECONOMICS
BSC REAL ESTATE, BSC LAND VALUATION huku mambo ya mkopo wanaconsider na pia wigo wa ajira ni mkubwa kwani wataalamu wa nyaja hizi ni wachache kulinganisha kada zingine za biashara
BCOM ni kozi nzuri sana ila jiandae na changamoto za kitaa
anza kuwa na mawazo ya kujiari mapema sana itakusaidia sana mbele ya safari