D david shayo Member Nov 21, 2011 21 5 Dec 11, 2011 #1 Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia uzazi wa mpango mwanamke hupoteza hisia?
Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia uzazi wa mpango mwanamke hupoteza hisia?
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,381 Dec 12, 2011 #2 Kwa maelezo zaidi kuhusu uzazi wa mpango soma uzi huu in wich side effect za njia mbali mbali zilizungumziwa. Ningeshahuri wakamuone tena daktari.
Kwa maelezo zaidi kuhusu uzazi wa mpango soma uzi huu in wich side effect za njia mbali mbali zilizungumziwa. Ningeshahuri wakamuone tena daktari.