Msaada plz!! windows kwenye Linux os

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
1,785
Reaction score
2,062
wakuu habar zenu!!! nataka nitumie app za windows kwenye os ya linux,nitumie njia ip kla nikiinstall znagoma.mwenye ujuzi anajuze plz
 
wakuu habar zenu!!! nataka nitumie app za windows kwenye os ya linux,nitumie njia ip kla nikiinstall znagoma.mwenye ujuzi anajuze plz

kama unataka app za windows why usieke windows? just dualboot windows na linux kwenye pc moja
 
wakuu habar zenu!!! nataka nitumie app za windows kwenye os ya linux,nitumie njia ip kla nikiinstall znagoma.mwenye ujuzi anajuze plz


Install Wine 🍷 kwanza ndio utawezakutumia app za .exe kwenye linux.
Ingia kwenye update uchague wine , au search google
 
Unaweza tumia option kadhaa
1. Install wine. Hii program inapatikana ndani ya ubuntu software center itakuwezesha kurun windows programs direct kwenye ubuntu. Kasoro yake ni kwamba some programs zinaweza kuwa incompatible na huwa hazi look good kama native program za ubuntu or zinavyokuwa kwenye Windows. pia unaweza install playonlinux kwa ajili ya kuplay games za windows
2.Tumia virtualbox. Kama PC yako ina spec nzuri (4GB+ RAM na processor modern kama i3/i5/i7) unaweza install windows OS ndani ya ubuntu na ikawa kama program. Ndani ya hiyo windows ndio utainstall programs za windows bila shida yoyote. Faida yake ni kuwa programs za windows almost zote except games zinarun bila shida na zinalook good, pia unakuwa na uwezo wa kutumia OS zote mbili bila kuzima PC yako. Disadvantages zake ni kuwa haiwi faster kama inavyorun direct kwenye hardware. Na vitu kama games (3D) inakuwa shida kuziplay
3. Dual booting. Hii ni kuistall OS mbili kwenye pc na unakuwa unachagua ipi utumie unapowasha PC yako. Hii haina shida yoyote kwa upande wa programs, ila ukitaka kutumia OS moja nyingine inakuwa Off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…