msaada plz waungwana!

vickboy.com

Member
Jul 29, 2013
86
0
Habarin wana jukwaa, naomba kuuliza, niliwahi kuchaguliwa 2010 kujiunga na chuo cha ifm na mkopo nilipata kwa bahat mbaya nikawa nasumbuliwa kiafya so nikashindwa kwenda chuon na wala sikutoa tarifa mpaka nilipokuja kuapply mwaka huu na kupata chuo st.joreph songea pia nikabahatika kupata mkopo but tulipokuwa tunasain jina likawa limeandikiwa loanee suspended so nililazimika kwenda bod kucheck what is wrong wakaniambia ifm hawakurudsha hela na waliponitafutia customer statement ili onesha hawakurudisha 535000 ambayo ni stationary na meals&accomodation, je naweza kuzipata hizo hela au ndo sadaka maana nilipoenda ifm mhasibu alisema halioni jina langu na mi niliondoka haraka kutokana ruhusa kuwa imeisha nikaamua nitarud tena.
 
BISHOPSAMY

Senior Member
Jul 31, 2013
101

pole sana mdau;; vp boom la kwanza ulipata?la pili ndio wanakuambia suspended,,Mungu awe na ww kwa kila jambo,:naomba namba za bord ambazo nirais wao kupokea,cos mm nilfanya transfer ila mpaka sasa sijapata pesa,umekutana na mtu mwenye tatizo kama langu uko bord??ukienda bord wanataka uende na document gan?Thanks much.
 
vickboy.com

Member
Jul 29, 2013
86
0
Mi sijapata hata hilo la kwanza! kwa hiyo kesi yako unatakiwa uende na barua ya uthibitisho wa kuhama kwako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom