ahsante mkuu sasa naplay bila shida. halafu na tatizo jingine wakubwa.nimechakachua modem ya airtel mf 190 ila nikiweka line ya zantel yenye bundle ya siku 3 umlimited internet inakuwa slow sana wakati nikiweka line ya voda au zile modem za cdma za zantel speed huwa ni moto sasa sijaelewa tatizo