Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,894
- 1,485
nimechaguliwa chuo sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaweza kwenda mwaka huu .
sasa je utaratibu ukoje wa kuahirisha. je? nitatakiwa kufanya regstration chuoni ndo niombe kuahirisha?? vp kuhusu mkopo kama nimepata ni utaratibu gani nifuate ili mwakani wasininyime??