Wakuu nilikuwa naomba msaada wenu nina flush disk ambayo nikiichomeka kwenye compyuter ili niitumie kwanza inanipa message hii 'you need to format the disk before you can use it?
Nikikubali kuiformat inaniletea sms nyingine inayosema hivi windows was unable to complete the formatting.
Sasa nilikuwa naomba msaada wenu wataalam ni vipi naweza fanya ili niweze tena kuitumia hii flush au ndio imekufa kabisaa??
Au kama kuna yoyote anaweza nisaidia juu ya hili ningeomba anisaidie basi .natanguliza shukrani zangu