Msaada plz kuhusu hii iphone 3g

Msaada plz kuhusu hii iphone 3g

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
nina iphone 3g,ilikuwa na 4.1 firmware nikai upgrade to 4.2.1 na kuitumia sana tu,sasa nikataka kufuta kila kitu kwenye hii simu so nikabonyeza erace all,ikamaliza but ikagoma kuwaka ila nilipoforce nikaiweka kwenye recovery mode,sasa sijui nifanyeje niiwashe hii simu maana ishakuwa kama toy,tafadhali mnisaidie
 
ni pm ..
.otherwise chakufanya ni kui upgrade to ipadbaseband 6.15.00....then Jailbreak halafu unlock with Ultrasn0w.
Kama huelewi....au maelezo ni magumu...PM!
 
Back
Top Bottom