Msaada pls

Msaada pls

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Nahitaji kununua simu aina ya tecno K7. Nimeipenda kwa sababu ina **fingerprint**

Je, ni kweli fingerprint haitaruhusu mwingine kufungua au kutumia simu yangu? Yaani hata kama anaijua password, fingerprint hatokuwa nayo na hatoweza kufungua na kutumia au kusoma?

Asante
 
Mkuu umependea fingerprint tu?kama unavosema ni kweli ukiiacha tu sehemu hamna mtu ataweza fungua mpaka dole lako......
Dah... Asante Bwana mi hicho tu yaani.. Lakini pia camera yake IPO clear sana aisee.... ! Sio kama itel yangu ya 1556. Nilipoteza pesa tu....!
 
Nahitaji kununua simu aina ya tecno K7. Nimeipenda kwa sababu ina **fingerprint**

Je, ni kweli fingerprint haitaruhusu mwingine kufungua au kutumia simu yangu? Yaani hata kama anaijua password, fingerprint hatokuwa nayo na hatoweza kufungua na kutumia au kusoma?

Asante
Nina K8 mkuu nipm tufanye biashara
 
Back
Top Bottom