G georgemugwangala Senior Member Joined May 29, 2016 Posts 109 Reaction score 21 Jul 29, 2019 #1 Ndugu zangu wapendwa,naomba kujua hii foundation course inahusika na nn,na vigezo vya kujiunga na kozi hii ni vp,pia masomo yanayoambatana na kozi hii ni yap? Kwa anaejua chochote juu ya hili,naomba anisaidie... Natanguliza shukran zangu kwenu.
Ndugu zangu wapendwa,naomba kujua hii foundation course inahusika na nn,na vigezo vya kujiunga na kozi hii ni vp,pia masomo yanayoambatana na kozi hii ni yap? Kwa anaejua chochote juu ya hili,naomba anisaidie... Natanguliza shukran zangu kwenu.