Nina simu ya mchina samsung S5690. simu hii inatatizo kwenye internet. kwamfano nikifungua facebook inafunguka mpaka kwenye ile sehemu ya kulogin ila nikisha login ina load afu inakuja message inayo sema "Internal error" afu browser inafunga. Tatizo lingine nikienda kwenye waptrick ninaweza kudownload video na music tu ila siwezi kudownload apps au games hata kama ni za android apk. nikidownload apps au games ina download text. Naombeni msaada wakuu kama kuna uwezekano waku okoa hiki kimeo changu.