Msaada plizModerm ya AIRTEL .......

Msaada plizModerm ya AIRTEL .......

Elerai

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
474
Reaction score
139
Habar za weekend ba ndug nina modem ya airtel nlipurchase last year dom mwez uliopita ilianza mauza uza ambayo ckuelewa maana yake ni hv. Nikiwa nimekonect intanet inapotea hewani ghafla bila kuguswa ikanibidi niitoe bila kutumia remove safely . Then huingiza tena na kukönect upya .baada ya wiki haionekani kabisa naichomeka mahali husika haileti ishar yoyote .yan akil imestak celewi tatizo imeisha muda au laptop window imechoka au nin mwenye ujuzi naomba tafadhali hapa
 
Jamani mbona hamnijibu jaman eeh mpak nimerudi mwenyew
 
check window yako, drivers za modem yawezekana zimeshambuliwa na warusi. nakushauri instal a fresh copy of window
 
jarib kutumia nyingne uone kama tatizo ni hiyo miderm au machne
 
Asanten nkipata majibu ntarudi
 
Back
Top Bottom