Nimenunua laptop aina ya LENOVO B50-30. Window 7 bit 32.Lakini kinachonishangaza ni kwamba hawezi kucharge phones wala kusoma usb ya phone. Tatizo litakuwa nin maana nimejaribu kudownload na kuinstall free usb drivers lakini bado haisomi, zingine zinakataa kabisa.
Mkuu hapo kwenye windows update pananihusu sana. nina laptop inatumia windows 8 hivi iaribuni unaniambia niactivate window. kila nikijaribu inagoma, sasa nafanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.