Nime-face na deadly situation nimekua na my girl kwa muda wa miezi sita but now week tatu zimepita sijasex nae tatizo ni kwamba anaogopa since kasafishwa baada ya kupata miscarriage, nakaa nae room moja, sitaki ku-mcheat had pale atakapokua tayari tatizo kanipa option mbili, Kutafuta spea tairi au tuachane.
Lakini hakuna hata kimoja nilichokubali,
zaidi ya kusema nitasubiri even a year, I love her I see...
Kama mdau wa JF, Nambie chochote juu ya hii situation.,,, #ugwadu # utaniua...
Huyo hata mapenzi na wewe hana, mwenye kukupenda hawezi kuthubutu kukwambia tafuta mtu mwingine au tuachane loh, kama anaogopa au rizon yoyote aliyonayo alipaswa kukwambia tu kistaarabu usubiri, sio hizo option alizokupa
mrudishe binti wa watu kwao mapema sana acha uzinzi wewe loh ... anaogopa kwa sababu uzazi upo juu unaweza kamata mimba nyingine na yeye hataki kuzaa na wewe ,... kwanza lazima ujue yawezekana pia ni changa la macho hilo siyo miscarrage kaamua kutoa mimba kwa sababu ya wewe kutokuwa na mwelekeo ,.... ushauri acha uzinzi wewe bwana loh!!!@!
We jamaa inaonyesha wewe ni mlinda goli tu mwenye mali yupo sasa dalili ya mvua ni mawingu na nyota njema huonekana asubuhi fanya maamuzi sahihi kijani mwenzangu kungali bado mapemaaaa