Msaada please

Deborita

Member
Sep 10, 2013
37
11
wadau nina mtoto wa kiume ana miezi 9 sasa, lakini hataki kula! naomba wadau mnisaidie kama kuna dawa au chakula kitakachorudisha hamu ya kula.
 
umecheki minyoo?

Alafu inawezekana chakula hakina ladha, kuna watu wanatengeneza vyakula visivyo na ladha alafu wanategemea mtoto ale.

Jaribu cerelac, maziwa ya unga, uji wa dona. Tusubiri wataalamu.
 
wadau nina mtoto wa kiume ana miezi 9 sasa,lakini hataki kula!naomba wadau mnisaidie kama kuna dawa au chakula kitakachorudisha hamu ya kula

Lakini kwa umri wa mtoto maziwa ya mama ndo chakula kinachofaa sana kwake. Mtoto kama kaanza kutambaa anashika vitu vingi na pia anaweka vidole mdomoni mpime choo kuangalia minyoo then kama ipo mnunulie albendazole syrup anywe in divided doses kwa sababu hajafikisha miaka 2 ili aweze kunywa yote pia mnunulie syrup multivitamin inayoitwa nutravit anywe 5ml kila siku itamsaidia mtoto ila jitahidi apate maziwa ya mama kwa muda mrefu.
 
asante nitaufanyia kazi ushaur wako
 
Jaribu pia kuangalia ratiba yake ya chakula, aina ya vyakula unavyompa na hata mapishi yako!
 
Huyo mtoto bado mdogo ucmpe ulezi mpe dona tu ulezi una nguvu sana kwa umri wake siyo sahihi mamie
 
Back
Top Bottom