aljun raj JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 203 Reaction score 46 Mar 29, 2013 #1 Kuna mshikaji wangu mtaani anashndwa kutongoza akiwa mzma, mpaka alewe ndio anatokoza. Nimejaribu kumpa somo lakni wapi anashindwa kabisa, msaada wenu naona utasaidia!
Kuna mshikaji wangu mtaani anashndwa kutongoza akiwa mzma, mpaka alewe ndio anatokoza. Nimejaribu kumpa somo lakni wapi anashindwa kabisa, msaada wenu naona utasaidia!
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,171 Reaction score 31,357 Mar 29, 2013 #2 mpaka alewe ndo atokoze khaa sasa si umwambie alewe hivyo hivyo ndo atokoze. Useless and childish thread haya mtokozo mwema
mpaka alewe ndo atokoze khaa sasa si umwambie alewe hivyo hivyo ndo atokoze. Useless and childish thread haya mtokozo mwema
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,171 Reaction score 31,357 Mar 29, 2013 #3 mpaka alewe ndo atokoze khaa sasa si umwambie alewe hivyo hivyo ndo atokoze. Useless and childish thread haya mtokozo mwema
mpaka alewe ndo atokoze khaa sasa si umwambie alewe hivyo hivyo ndo atokoze. Useless and childish thread haya mtokozo mwema
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,268 Reaction score 90,775 Mar 29, 2013 #4 safi tuu...mbona mie nilishakutana na watu kama hao wengi tuu....alcohol inawafanya wasiwe na aibu
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 29, 2013 #5 tunamsaidia nani hapa? Wewe au rafikiyo?
Open-Minded JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 278 Reaction score 165 Mar 29, 2013 #6 awatafute wana saikolojia tu kwa ushauri nasaha naona tatizo lake litaisha
BUCHANAGANDE JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 1,512 Reaction score 482 Mar 30, 2013 #7 Mwambie apange siku anywe sana na akichukua mwanamke ndo anakuwa mke wake kabisa badala ya kuwa anaopoa opoa maana mwishowe atapata Ukimwi na pombe zake kichwani.Thanks
Mwambie apange siku anywe sana na akichukua mwanamke ndo anakuwa mke wake kabisa badala ya kuwa anaopoa opoa maana mwishowe atapata Ukimwi na pombe zake kichwani.Thanks