Hakika hii kitu inashangaza sana. Ngoja niwaambie ukweli wangu mimi, mi nilikutana na mpenzi (mtoto wa Kinyakyusa) haki nakuambia within 4 months baada ya kujuana nilienda kwetu ukerewe kuwaambia wazazi nimepata mchumba na tukaoana after 6 months. Hata sisi mpaka leo tunashangaanaga maana hatukuchunguzana kwa muda mrefu.
Therefore the longer you stay the higher the risk of loosing.