MSAADA PLEASE

4life

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
46
Reaction score
10
Habarini wana jf.
namdogo wangu anasoma form five anataka akasome tution mchikichini.mwwnye ratiba ya vipindi kwa mgote na mandia anipatie.
 
Habarini wana jf.
namdogo wangu anasoma form five anataka akasome tution mchikichini.mwwnye ratiba ya vipindi kwa mgote na mandia anipatie.
Upo wapi? Kama upo DSM mpe nauli akaulize mwenyewe.
 
kitambo sana hayo maeneo hapo nilikuwa nasindikiza wadau tu sio kusoma.

Mkuu kwani mdogo wako anakaa wapiz we mwambie tu aende mwenyewe kila kitu atajua hukohuko maana kwanza hakuna ratiba maalumu watu wanapigia pindi hata dirishani, cha msingi ajue alichofuata kule sijui kwa miaka hii kama kuna utaratibu mzuri.
 
Habarini wana jf.
namdogo wangu anasoma form five anataka akasome tution mchikichini.mwwnye ratiba ya vipindi kwa mgote na mandia anipatie.
Aje nmfundishe mkuu kama yuko seriously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…