Heshima kwenu!
Naomba kujua nini cha kufanya laptop yangu Lenovo S300 inakataa kutype baadhi ya herufi A, S, D, F, G, H, J, K na L.Herufi nyingine natype bila shida yeyote.
Kwa anayejua namna ya kumaliza hili tatizo, naomba msaada.
Asante.
Inaweza kua imeingia mchanga kwenye hizo batani za keyboard.
iinue upside down uwe kama unaitikisa kama ni mchanga haujajibana sana utatoka. Ukifanya hivyo ikagoma basi peleka kwa fundi afungue akusafishie hiyo keyboard.