Msaada please

Msaada please

obbie

Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
30
Reaction score
4
Habari za kazi wakuu, nilikua naomba kujua jinsi ya kurudisha account ya intagram iliyokuwa hacked kama inawezekana
 
Wasiliana na Instagram kwa email yao,kuna process za kuzifata ikiwa ni pamoja na kutumiwa code fuani kisha uambiwe uandike kwenye karatasi nyeupe kisha upige picha ukiwa umeishika karatasi husika na kisha uwatumie. Hakikisha picha yako ni moja kati ya picha zilizokua ndani ya hiyo account.

Au kama Uliverify namba yako ya simu nenda kwenye kuchange password then kupitia namba ya simu kisha watakutumia link ya kuchange password.

Aliyehack kafuta post zote I mean picha zote je naweza kuzipata pia nikifiata process izo?
 
Back
Top Bottom