Msaada please!waku2mia simu kama modem

Msaada please!waku2mia simu kama modem

Ndokororo

Member
Joined
May 10, 2011
Posts
38
Reaction score
3
Ndugu wana great thinkers.nina cm yangu aina ya sumsung sgh 70 3G, imevunjika display na nimetafuta nimekosa.sasa nataka nibadili matumiz niifanye modem.vp inafaa niifanye modem?nina cd prgm yake je cofigtn nitaifanyaje?manake wakati inaharibika ilikuwa na cnfgrtn ya tigo,mimi nataka nitumie airtel.nitafanyaje kuset hiyo confgrtn ya airtel wakat display haionyesh?.msaada please.
 
kijan ukiweka post kuwa mpole watu wakujibu sawa,,,,,,,,sio unaweka post mbili kwa wakati mmoja....tulia watu wakube somo..
 
mkuu kama simu haidisplay chochote kwa ufahamu wangu naona kama itakuwa ngumu sana, maana kuna setting zingine inabidi uzifanyie ktk simu.
subiri wataalamu zaidi
 
Ndugu wana great thinkers.nina cm yangu aina ya sumsung sgh 70 3G, imevunjika display na nimetafuta nimekosa.sasa nataka nibadili matumiz niifanye modem.vp inafaa niifanye modem?nina cd prgm yake je cofigtn nitaifanyaje?manake wakati inaharibika ilikuwa na cnfgrtn ya tigo,mimi nataka nitumie airtel.nitafanyaje kuset hiyo confgrtn ya airtel wakat display haionyesh?.msaada please.

tafuta mwenye simu model sawa na hiyo ikusaidie kufuata hatua husika vinginevyo hutofanikiw
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/
 
Hapo itakuwa ngumu sema jaribu tafuta conf za simu yako ziweke kwenye halafu chomeka phone yako kwenye pc'kama itatokea simu vizuri endelea kufanya procedure by using your pc'unaweza kuitumia ndugu
 
Modem ni shs si zaidi ya 60000 kwa nini usinunue tu, halafy its more portable kuliko kubeba lijisimu kwa ajili ya modem tu
 
sasa modem za zantel ni elfu ishirini na tano , na tigo ni elfu thelathini. kwa nini ujitese kwanza spidi inakuwa ni ndogo mno
ila una njia mbili ya cable na ya bluetooth. tafuta software ya bluetooth na uisearch kwa kutumia computer mwake mwaooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom