mwanike wa ukaya
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 115
- 79
Jaman directly katika tatzo langu ni kuwa wiki ya tatu hii sipati choo...ukilinganisha na ndonga ninayokula . nikijitahidi sana kias kidogo sana hata kidole cha mwisho kikubwa..tumbo haliumi na njaa inauma vizuri tuu...hospital nkapima laboratory. Wakasema no problem. Cjui ni uchawi gan huu Naamini g ntapata msaada wenu..humu maana jf ndo mkomboz na suluhisho la tatzo. Asanten