Habari wanajamvi
Jamani shida yangu ni mmoja tu nahitaji ni app gani ambayo itaniwezesha ili kuweza kuhuck simu ya wife maana mmmh please serious mwenye
uelewa
Pole sana mkuu, kuna uzi humu JF ulijadili hiyo issue lakini ukipata huo ujuzi usitumie kwa wife matatizo yatazidi ni vizuri kutumia for security purpose kama kujua nini maadui zako wanataka kukufanyia na ukijua usifundishe watu utaleta maafa