mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
sychronise through emai adress kaka
Eti inakuaje ukapata phonebook ya mtu mwingine kwenye simu yako....mfano mimi nina simu samsung s3..then mchumba ana BB.....mara tu unaona kwa contact zangu yaan kwenye simu yangu samsung zipo pia contact za mchumba wangu...hapo sijawahi kuchukua line yake na kueka kwenye simu yangu sijawahi wala yeye kuchukua line yangu kueka kwake...najiuliza je zilihamaje toka kwake kwenye simu yake kuja kwangu....na je kuna anymeans anaeza akawa may be amefanya vitu ili apate communication zangu....help pleaseeee hii inaeza ikawa ni nini?sijui nimeeleweka vizuri?
Kama yuko facebook,twiter, histogram, tango, google,kuna sehemu kwenye cm anaiyamlisha majina yaingie kwenye cm ikiwa pamoja na namba na e mail sio zako ni za marafiki zake wote walio na hizo account.ni sehemu hata wewe unaweza kuingia bila kujua ni kubovya OK majina yanaingia automatic, UCOGOTE HAUSHIKWI WE KULA MIGOMA
umenkumbusha mbali na hio histogram
mwalimu wa hesabu: mtafundishwa na mwalimu wa geography
mwalimu wa geography: hii kwenye hesabu ipo mtaisoma huko huko
umenkumbusha mbali na hio histogram
mwalimu wa hesabu: mtafundishwa na mwalimu wa geography
mwalimu wa geography: hii kwenye hesabu ipo mtaisoma huko huko