Kupata hii offer unahitaji modem ya zantel (ambazo huwa hazitumii line) kama ilivyo kwa TTCL (kupata offer zao banjuka n.k.) unahitaji modem ya ttcl ambayo pia haiitaji line
Hizi modem tayari zina namba zake kwa zantel baadhi zinaanzia 0775................, sasa wewe unapoweka line yako yenye namba 0777.... obviously hii ni namba tofauti na ukiweka ttcl huwezi kutumia kama zantel sababu nayo ina namba zake tofauti
Hakuna cha kufanya zaidi ya kwenda nunua modem ya zantel, (ambazo nadhani kwa sasa ni kwenye 20,000/=)