Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 520
Wadau habari za muda huu...kwa wadau wanatumia IOS devices/iPhones...accidentally nimedelete music app yangu yahani ile default music app ya apple (sijui kama ili ni jina sahii) lakini namaanisha ile inayokuja na simu...sasa nimestruggle kuitafuta kila mahali kama naweza download mpya au naweze restore iliyokuwepo lakini nimeshindwa tatua hili...please kwa anayejua namna ya kuirudisha naomba anijuze...natanguliza shukrani