Msaada please iPhone 5s haina network baada ya upgrade

Mbeky

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
672
Reaction score
520
Habari wadau naona simu yangu haipatani kabisa na IOS 10 maana at first nilipoaupdate to iOS 10 music app iliacha kufanya kazi ila juzi nimefix tatizo hilo kwa kuupdate to iOS 10.2.1 ikaanza kuwork normally...sasa Jana jioni mpaka leo limeibuka tatizo jingine simu imepoteza network napata "no service"
Mwenyewe uelewa nifanye nini kufix tatizo hilo naomba msaada tafadhari
 
Umejaribu kuirestore kwenye iTunes!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…