Msaada please: Application nzuri ya kurekodi calls

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
4,411
Reaction score
6,484
Habari wakuu, na wataalamu wa teknolojia

Kwanza kabisa nipende kuwashukuru kwa kunisaidia kuipata appk nzuri ya mobile tracker, nimekuja tena naomba mnisaidie ni app gani nzuri ya kurekodi simu katika simu yangu ambayo ni free of charge na haichagui calls.

Nimezijaribu call recorder apps nyingi kutoka playstore tatizo lake ni kwamba zinachagua calls, hazirekodi kila calls.

kama unaifahamu call recorder app nzuri ambayo ipo vizuri kurekodi calls naomba unitaje hapa, iwe ya playstore au ya ku google.

NATANGULIZA SHUKURANI
 
Naona anatafuta kumfumania mtu sasa Ili apate ushahidi inabidi arekodi maongezi
 
Tumia katecno kdogo wek memory card zitajirekod zenyewe
 
Habari wakuu, na wataalamu wa teknolojia

kwanza kabisa nipende kuwashukuru kwa kunisaidia kuipata appk nzuri ya mobile tracker, nimekuja tena naomba mnisaidie ni app gani nzuri ya kurekodi simu katika simu yangu ambayo ni free of charge na haichagui calls.

Nimezijaribu call recorder apps nyingi kutoka playstore tatizo lake ni kwamba zinachagua calls, hazirekodi kila calls.

kama unaifahamu call recorder app nzuri ambayo ipo vizuri kurekodi calls naomba unitaje hapa, iwe ya playstore au ya ku google.

NATANGULIZA SHUKURANI
Namm nasubilia hapa maana inanihusu hii
 
mmh ingia google download app ya autocall recoder
kama unaetaka kurekod hutak ajue download app ya app hider au kama umatumia samsang click hapo kitufe cha pembeni ukiacha cha back upande wa mkono wa kushoto kuna sehem wameandika hide application click kisha imark piga ok
hapo kaz kwisha ukichukua ww sim ndo unaangalia hapi hapo kuna sehem unhide unaitoa unaskiliza simple
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom