Msaada: Playstore imetoka katika tablet yangu

metudi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
150
Reaction score
72
Nilikuwa nimeireset coz kuna apps zilikuwa kila nikiz uninstall hazitoki lakini nilipo reset baada ya kuwaka nataka niweke whatsapp sim inanambia Google playstore haipo nashindwa kuweka app yoyote nisaidieni wataalam nifanyaje?!!
 
Nenda operamini au browser yoyote..then google "playstore apk" then utaeza idownload na kuinstall.. Same applies to whatsapp.. Google " whatsapp apk"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…